Saturday, January 17, 2009

uzinduzi wa mpango wa ufunguo wa mafanikio kibiashara

Mkurugenzi Mtendaji wa ZainTanzania, Khaled Muhtadi (kushoto) akizungumza jambo na Mwenyekiti wa Mfuko wa Sekta Binafsi Tanzania(TPSF), Bi. Esther Mkwizu wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mpango wa Ufunguo wa Mafanikio Kibiashara (BDG) Dares Salaam jana. Kulia ni Waziri wa Nchi, Ofisi yaWaziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), Philip Marmo.Zain ilikuwa miongoni mwa wadhamini wa hafla hiyo.

Mkurugenzi Mtendaji wa Zain Tanzania,Khaled Muhtadi (kushoto) akizungumza jambo naMwenyekiti wa Mfuko wa Sekta Binafsi Tanzania (TPSF),Bi. Esther Mkwizu wakati wa hafla ya uzinduzi waMpango wa Ufunguo wa Mafanikio Kibiashara (BDG) Dar esSalaam jana. Zain ilikuwa miongoni mwa wadhamini wahafla hiyo.

Mkurugenzi Mtendaji wa Zain Tanzania,Khaled Muhtadi (kushoto) akizungumza jambo na OfisaMtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Ben Christiaanse wakatiwa hafla ya uzinduzi wa Mpango wa Ufunguo wa MafanikioKibiashara (BDG) Dar es Salaam jana. Katikati niMeneja Biashara wa NMB, Robert Pascal. Zain ilikuwamiongoni mwa wadhamini wa hafla hiyo.0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP