Saturday, January 17, 2009

ujio mpya wa mashindano ya kitaaluma ya Zain Africa Challenge

Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Hurbert Kairuki wakishangilia Dar es Salaam jana baada ya timu yao kufuzu fainali ya kimataifa ya mashindano ya kitaaluma ya Zain Africa Challenge ya vyuo vikuu zitakazofanyika Kampala, Uganda mwezi ujao. Vyuo vinne vya Mzumbe, Hurbert Kairuki, Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi za Tiba Muhimbili na Chuo Kikuu cha St. Augustine vimefuzu kuiwakilisha Tanzania katika fainali hizo.

Meneja wa Huduma za Jamii wa Zain Tanzania, Tunu Kavishe akitoa maelekezo ya jinsi ya kushiriki mashindano ya kitaaluma ya Zain Africa Challenge kwa wanafunzi wa vyuo vikuu kumi Dar es Salaam jana. Vyuo vinne vya Mzumbe, Hurbert Kairuki, Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi za Tiba Muhimbili na Chuo Kikuu cha St. Augustine vimefuzu kuiwakilisha Tanzania katika fainali za kimataifa zitakazofanyika Kampala, Uganda mwezi ujao.

Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Hurbert Kairuki wakijadiliana jambo Dar es Salaam jana baada ya timu yao kufuzu fainali ya kimataifa ya mashindano ya kitaaluma ya Zain Africa Challenge ya vyuo vikuu zitakazofanyika Kampala, Uganda mwezi ujao. Vyuo vinne vya Mzumbe, Hurbert Kairuki, Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi za Tiba Muhimbili na Chuo Kikuu cha St. Augustine vimefuzu kuiwakilisha Tanzania katika fainali hizo.


0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP