Friday, January 9, 2009

Ngwasuma yafunika Moshi

Wanenguaji wa Bendi ya FM Academia wakilishambulia jukwaa la Club Aventure mjini Moshi wakati bendi hiyo ilipotumbuiza mashabiki na wakazi wa mjini humo. Bendi hii inaelekea Arusha kufanya makamuzi ya aina hii.

Mashabiki wakijimwaka na wazee wa Ngasuma

Seif Mbonda mpiga tumba wa FM Academia wazee wa Ngasuma akifanya vitu


Presidaa Nyoshi El Saadat akiweka mambo yake jukwaani0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP