Friday, January 9, 2009

wazenj wazidi kujizolea zawadi promosheni ya jishindie mtaji

Wa kwanza kulia ni ofisa huduma kwa wateja Zanzibar Octavian Rwegasira akimpongeza Abdul Hazim aliyejinyakulia zawadi ya cherehani katika promosheni ya JISHINDIE MTAJI wakati wa droo ya nne ya promosheni hiyo iliyochezwa wiki iliyopita wakati wa hafla ya makabidhiano ya zawadi juzi katika ofisi za Tigo zilizoko Mtaa wa Malindi Zanzibar.

Wa kwanza ni ofisa huduma kwa wateja Zanzibar Samwel Mushi akimsaidia mshindi Hafiz Said kusukuma toroli alilojinyakulia katika promosheni ya JISHINDIE MTAJI wakati wa droo ya nne ya promosheni hiyo iliyochezwa wiki iliyopita wakati wa hafla ya makabidhiano ya zawadi juzi katika ofisi za Tigo zilizoko Mtaa wa Malindi Zanzibar

Wa kwanza kulia ni ofisa huduma kwa wateja Zanzibar Octavian Rwegasira akikabidhi na kumpongeza Ibrahim Mohamed aliyejinyakulia zawadi ya Simu ya mkononi yenye muda wa hewani elfu kumi katika promosheni ya JISHINDIE MTAJI wakati wa droo ya nne ya promosheni hiyo iliyochezwa wiki iliyopita wakati wa hafla ya makabidhiano ya zawadi juzi katika ofisi za Tigo zilizoko Mtaa wa Malindi Zanzibar.


Wa kwanza kulia ni Afisa Huduma kwa wateja wa Tigo Zanziba Bw, Octavian Rwegasira akiongea kwa simu na mmoja wa mteja aliyeibuka mshindi wa droo ya tano ya promosheni ya Tigo jishindie mtaji maalum kwa wateja wa Zanzibar juzi katika ofisi za Tigo Mtaa wa Malindi Zanzibar. Kutoka kushoto ni Ofisa msaidizi huduma kwa wateja wa Tigo Zanzibar Fredrick Mluge. Washindi walipata bahati ya kujishindia baiskeli, cherehani, Simu za mkononi, Toroli pamoja na muda wa maongezi elfu arobaini kutoka Tigo. Wakwanza kushoto ni Farouk Karim mwanahabari akishuhudia.0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP