Tuesday, January 13, 2009

Wengi wamuaga Malima

Mwenyekiti ya Bodi ya Wakurugenzi ya Tanzania Standard Media Group, Adolar Mapunda (shati jeupe) na Makamu Mwenyekiti wa Bodi hiyo Profesa Amandina Lihamba pamoja na waombolezaji wengine wakitoa heshima zao za mwisho kwa hayati Cassian Malima, aliyekuwa Mhariri wa gazeti la Kiswahili la Serikali la HabariLeo

Waombolezaji wakiaga mwili wa Marehemu Cassiana Malima "BOSS" au "Janjawidi"

Wapigapicha wa magazeti na Televisheni wakiwa mbele ya Sanduku lililohifadhi mwilu wa Marehemu Cassian Malima aliyekuwa Mhariri wa Gazeti la HabariLeo. Malima anataraji kuzikwa Januari 14 nyumbani kwao Msoma.


0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP