Tuesday, January 13, 2009

Picha za majeruhi wa ajali ya basi la Tashrif

Hidaya Titu akifarijiwa na jamaa yake kwa majeraha aliyoyapa katika ajali hiyo, Hidaya alimpoteza mtoto wake mmoja katika ajali hiyo.

Mmoja wa Majeruhi Amir Mohamed mkazi wa Korogwe Kwakomba akiwa amelazwa hopitalini hapo kwa matibabu.

Majeruhi Mwasiti Ramadhani akiwa na mtoto wake Amina Hamidu ambaye ni pacha wa Aisha Hamidu wakiwa wamelazwa katika Hospitali Teule ya Mheza mkoani Tanga.


0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP