Bondia Francis Cheka ‘ SMG’ (shoto) amesaini mkataba wa kukubali kucheza na Rashind Matumla ‘ Snake Boy’ (kulia) katika mpambano unaoandaliwa na Mkurugenzi wa kampuni ya Best Man Promotion ya morogoro, Zumo Makame (kati) litalofanyika Februari mwaka huu mji kasoro bahari. picha na john nditi
Back to TOP
0 comments:
Post a Comment