Thursday, January 1, 2009

Mshindi Wa Rav 4 Ya Zain

Mshindi wa kwanza wa RAV 4 ya Zain Tanzania, Michael Joel akibonyeza kitufe kwenye kompyuta kumpata mshindi wa gari aina ya Toyota Land Cruiser wa promosheni ya Endesha Ndoto Yako 2 ya Zain Tanzania, Msusa Jaffar wa Tegeta, jijini Dar es Salaam jana (Desemba 31, 2008). Kushoto ni mkaguzi kutoka Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania, Bakari Maggid, Mkurugenzi Mkuu wa Zain Tanzania, Khaled Muhtadi na kulia ni Meneja Masoko (Kitengo cha Wateja) wa Zain Tanzania, Kelvin Twissa.

0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP