Dk. Burian atembelea dampo Arusha
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Dk Batilda Buriani akitembelea dampo la Murriet Kwenye Manispaa ya Arusha alipokuwa na ziara ya siku mbili ya kuangalia uchafuzi wa jiji hilo. Kulia ni Mkurugenzi Manispaa ya Arusha Bw Raphael Mbunda shoto ni Mhandisi Mazingira Manispaa ya Arusha Bw Nicholus Ntobi. Picha na Ali Meja.
0 comments:
Post a Comment