Friday, January 2, 2009

wafanyakazi wa zain wafunga mwaka kwa msosi wa pamoja
Baadhi ya wafanyakazi wa Zain kitengo cha biashara na uendeshaji, wakiwa pamoja baada ya kupata chakula cha usiku nyumbani kwa Ofisa Mwandamizi wa Biashara wa Zain Tanzania, Chiruyi Walingo wakati wa hafla ya kuuaga mwaka 2008 na kuukaribisha 2009, Dar es Salaam.


0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP