Wednesday, February 4, 2009

Ajinyakulia pikipiki kwa kununua filamu halali

Mtangazaji wa clouds Fm kupitia segment ya Muvi Leo iliyomo ndani ya kipindi cha Leo tena,Zamaradi Mketema akimkabidhi ufunguo wa pikipiki kama uonavyo pichani mshindi Said Ally Mpanji mkazi wa Chang'ombe jijini Dar,baada ya kuibuka kinara kwenye bahati nasibu maalum,kwa kununua filamu halali.Lengo la bahati nasibu hiyo ni kupambamba na wizi wa kazi za sanaa hapa nchini

0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP