Wednesday, February 4, 2009

Hiyo ndiyo Gharama ya Umaarufu Nora!!!!

Nora kama unavyomuona katika picha akijifuta machozi mara baada ya kugongwa swali na mwandishi kuhusiana na picha chafu anazohusishwa nazo, huku wasanii wenzie wakiwa wametulia wakisikiliza kwa makini, kulia ni Mzee Chilo na kushoto ni Elizabeth Chijumba.

Hapa anaonekana akiendelea kujifuta machozi kwa uchungu

Kama unavyomuona Mzee Chilo akijaribu kumtuliza Nora lakini hata hivyo alishindwa kuzuia machungu yake na kuendelea kulia kitu kilichopelekea kipindi Cha maswali kukoma na kuanza kipindi kingine cha kutoa Maoni ambapo waandishi kadhaa walitoa maoni yao kwa wasanii hao


0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP