Wednesday, February 25, 2009

sitta atembelea gereza la nsenda, urambo


Spika wa Bunge na Mbunge wa urambo Mashariki, Mhe. Samuel Sitta akikagua jengo la zahanati ya gereza la kilimo la Nsenda Urambo leo ambalo linaitaji ukarabati kwa ajiri ya kuhudumia magereza na kijiji jirani cha nsenda, anayempa maelezo ni muuguzi mkunga wa zahanati hiyo Fidea Mguto, na kushoto ni Mkuu wa Gereza Hilo SSP Jeremia Makaranga, mwenye suti nyeusi ni Mkuu wa wilaya ya Urambo Kassim Majaliwa. Picha na Owen Mwandumbya wa Bunge

0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP