Tuesday, February 17, 2009

TBL YABADILI NEMBO YA CASTLE LAGER


Mkurugenzi wa masoko wa TBL Bw. David Minja akiongea na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa nembo mpya ya bia aina ya Castle Lager kwenye Hoteli ya New Africa leo lengo la mabadiliko hayo ni kuendana na soko , kuboresha viwango vya ubora na kuwapa wateja kile wanachohitaji katika soko.


David Minja mkurugenzi wa masoko TBL kulia na Meneja wa bidhaa TBL Martha Bangu wakizindua rasmi nembo mpya ya bia aina ya Castle Lager leo nembo hiyo imebadilishwa na kuboreshwa ili kukidhi viwango na soko kwa wateja wanaotumia kinywaji hicho.

Kikundi cha Muziki kutoka kampuni ya Intargreted kikitumbuiza wakati wa uzinduzi wa Nembo mpya ya bia ya Castle inayotengenezwa na kampuni ya bia nchini TBL leo kwenye Hoteli ya New Africa


0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP