Tuesday, February 17, 2009

Zain yazindua kifaa kipya


Meneja Bidhaa wa Zain Tanzania, Deo Tarimo akitokea maelekezo ya jinsi ya kutumia huduma mpya ya benki kupitia simu za mkononi (Zap) iliyozinduliwa na Zain barani Afrika, Dar es Salaam jana


Mkurugenzi wa Fedha wa Zain Tanzania, Heiko Schlittke (kushoto), Mkurugenzi Mkuu wa Citi Bank, Omar Hafeez, Ofisa Mkuu wa Biashara wa Zain Tanzania, Chiruyi Walingo na Mkurugenzi wa Huduma za Jamii wa Zain Tanzania, Irene Mlola wakionyesha katalogi za Zap kwa waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa huduma hiyo mpya ya benki kupitia simu za mkononi iliyozinduliwa na Zain, Dar es Salaam

0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP