Wednesday, February 4, 2009

Zombe aendelea na kesi yake

Mmoja wa watuhumiwa wa kesi ya mauaji ya wafanya biashara watatu kutoka mkoani morogoro Bw. Abdallah Zombe kushoto akiwa katika mahakama kuu leo kabla ya kesi hiyo kuanza kusikilizwa kulia ni askari magereza akiimarisha ulinzi mahakamani hapo, Zombe alitarajiwa kuanza kuwasilisha ushahidi wake

0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP