Exim bank ndani ya hafla
Meneja Mkuu wa Benki ya Exim, Dinesh Arora (kulia) akiwa na wafanyakazi wa benki hiyo, wakisikiliza Hotuba ya Mgeni rasmi Waziri mkuu Mizengo Pinda wakati wa tafrija fupi ya utoaji tuzo kwa mwajiri bora wa mwaka jijini Dar usiku wa kumakia leo ambapo viongozi wa benki kadhaa walihudhuria na kuzawadiwa
0 comments:
Post a Comment