Midume nayo haikuachwa nyuma

vibuyu navyo vilipata nafasi

miss tz 2008 nasreem karim alikuwepo kuwakilisha

mambo ya mwamvuli na chungu ya kakakuona show 2009

mbunifu wa mitindo fatma amour (menye gauni jeusi) akipozi na mamodo wake baada ya shoo babu kubwa ya kakakuona katika ukumbi wa Dar alive (zamani malaika) jijini dar
0 comments:
Post a Comment