Jamani style hii muziki unakwenda wapi? haya kazi kwetu washabiki.
kisha wakapanda kwenye viti na kushikilia kenchi za paa la steji huku wakimwaga mauno ya kukata na shoka.
Jamani style hii kutakuwa na mawazo ya huo muziki unaopigwa au ndiyo mitihani yenyewe?
Haya jamani kazi kwetu wapenzi wa Twanga
Utamu au raha?
0 comments:
Post a Comment