Waziri wa Habari ,Utamaduni na Michezo Capt.George Mkuchika akifurahia zawadi aliyopewa na Mshauri wa masuala ya Utamaduni wa Ubalozi wa Jamhuri ya Kiislam ya watu wa Iran Dr. Mostafa Ranjbar Shirazi mara baada ya kumtembela ofisini kwakwe leo jijini Dar es salaam. Picha na Aron Msigwa – MAELEZO.
Back to TOP
0 comments:
Post a Comment