Shein akiwa BK
Makamu wa Rais Dk. Ali Mohamed Shein, na Mkewe Mama Mwanamwema Shein wakiangalia mitambo ya kumwagilia maji katika mashamba ya miwa ya kiwanda cha Sukari Kagera wakati walipotembelea mashamba hayo kwa ajili ya kukaguwa kilimo cha umwagiliaji. Makamu wa Rais yupo Mkoa wa Kagera kukaguwa na kuzinduwa miradi ya maendeleo ya wananchi
0 comments:
Post a Comment