Friday, November 14, 2008

MISA- TANZANIA yaandaa " Blogs And Citizen Journalism".

Ni katika workshop iliyoandaliwa na MISA- TANZANIA na kuwashirikisha wahariri wa vyomba mbalimbali vya habari. Workshop hii inamalizika leo hapa IFM. Nimebahatika kuwa mmoja wa wawezeshaji katika siku hii ya mwisho. Nazungumzia mada inayohusu " Blogs And Citizen Journalism". Pichani ni baadhi ya washiriki.

Mmoja wa waandishi na wahariri wendamizi Bwana Lugano Mbwina. Ni mmoja pia wa Watanzania wachache waliongia katika ulimwengu wa habari za mtandaoni tangu miaka ile ya tisini. Kwa sasa Lugano Mbwina ni web editor wa magazeti ya Mwananchi na The Citizen. Kulia ni Peik Johansson, mratibu wa workshop na ni rafiki yangu, anatoka Finland.

Wanadada na akina Kaka wakiwa katika Workshop ya wahariri kuhusu mawasiliano kwa kutumia internet. Imeandaliwa na MISA- TANZANIA


0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP