dk. burian ziarani indonesia
waziri wa nchi ofisi ya makamu wa rais dk batilda buriani akionyeshwa mashine ya kupitishia utomvu wa mti wa sugar palm na mkurungenzi wa kampuni ya sugar palms willie smith alipotembelea kiwandani hapo. katikati ni mkurugenzi wamisitu na ufugaji nyuki bw felician kilahama huko wakiwa ziarani huko masarang nchini Indonesia , picha kwa hisani ya ali meja
0 comments:
Post a Comment