Monday, December 22, 2008

yatima kituo cha SOS wasaidiwa

Meneja wa Huduma za Jamii wa Zain Tanzania, Tunu Kavishe akimlisha mmoja wa watoto wasiojiweza wanaolelewa katika kituo cha SOS Children's Village jijini Dar wikiendi. Zain pia ilitoa zawadi anuwai kwa watoto yatima hao

Meneja wa Huduma za Jamii wa Zain Tanzania, Tunu Kavishe (kulia) akikabidhi zawadi ya Krismasi kwa mmoja wa watoto wasiojiweza wanaolelewa katika kituo cha SOS Children's Village jijini Dar mwishoni mwa wiki. Baadhi ya wafanyakazi wa Zain pia walikula chakula cha mchana na watoto yatima hao.

0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP