
Mbilia Bel usiku akifanya vitu vyake, kweli ilikuwa burudani sana.

Mbilia Bel akiimba taratiibu

Kuonesha kuwa bado yuko fiti,aliamua kudhihirisha wazi mbele ya washabiki na wapenzi wake kama hivi pichani kuwa bado wamo ile mbaya

Washabiki walipagawa mara walimuona Fally Ipupa jukwaani

Fally Ipupa akitbuiza mbele ya mashabiki wake ambao kila mara walionekana kuvutiwa nae hasa akina dada/mama

Kamanda Fally Ipupa akikamua mistari

Moto wa Fally Ipupa ukiwaka jukwaani

Watu walijiachia kisawasawa

Mbili Abell aliingia ukumbini kwa staili hii
0 comments:
Post a Comment