Mjane wa Marehemu Herry Makange akiaga mwili wa marehemu mume wake

Msemaji wa Jeshi la Polisi Kamanda Msika naye alifika kumuaga marehemu Makange

Waombolezaji wakiaga mwili wa marehemu Makange

Wafanyakazi wenzake wa Afrika Media Group walikuwapo kumuaga mwenzao
0 comments:
Post a Comment