Saturday, December 20, 2008

matonya aamua kuukacha wimbo wa mwana FA

Wote wakiwa katika sura za tabasamu baada ya kutimiza ndoto zao kwa pamoja

Ama hakika walipendeza sana.Pichani shoto ni mpambe wa bwana harusi Banana Zorro,Bwana harusi na wife wake wakiwa wamepozi front

Matonya akivalishwa pete na wife wake live


Ambwenye Yesaya .a.k.a Ay akimpa tano Matonya.Matonya alitamba sana na nyimbo zake kadhaa ukiwemo ule wa Vailet pamoja na AnitaMatonya akimvalisha pete ya ndoa wife wake mbele ya umati wa watu (haupo pichani) huku mpambe wake Banana Zorro akicheki kwa mbaaaali hivi
Mtu mzima Mc heavy weit Prof Jay nae alifika kumpa tafu matonya

Mr Blue nae akimpongeza msanii mwenzake Matonya kwa kufunga ndoa hivi karibuni


Mwana FA akimpa hongera Matonya kwa uamuzi mzito aliouchukua wa kufunga ndoa
Picha Zote kwa hisani ya Michuzi JR0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP